Tuesday, October 29, 2013

UFUNGAJI WA SMART BOARD WAKAMILIKA EXECUTIVE ROOM - UCC HQ.

IDARA YA MASOKO UCC INAKAMILISHA UFUNGAJI WA SMART BOARD IKIWA NI SEHEMU YA MKAKATI WA KUTAFUTA SOKO LA TEKNOLOJIA HII.

Mafundi wa UCC chini ya Engineer Mr Clement Zungu wakifunga smart board katika darasa maalumu Ucc makao makuu , wengine pichani ni Mr Michael na Mr Gideon.

Gideon na Michael wakienda sawa kuhakisha board inakaa vizuriNo comments: