Friday, August 22, 2014

UDSM PARTICIPATION IN THE 6TH HIGHER EDUCATION FORUM AND EXHIBITION 2014 AT NAURA SPRINGS HOTEL-ARUSHA-THEME: Higher Education beyond 2015 Millenium Development Goals (MDG's): What Next?

TAMASHA LA SITA (6) LA WADAU WA ELIMU YA JUU LILIFANYIKA ARUSHA KATIKA HOTELI YA NAURA SPRINGS KUANZIA AGOSTI 13 HADI 15, 2014. CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM NA VYUO VINGINE KADHAA VILISHIRIKI VEMA IKIWA NI PAMOJA NA TUME YA VYUO VIKUU-TCU NA BODI YA MIKOPO KWA ELIMU YA JUU-HESLB. PICHANI JUU NA CHINI NI WAWAKILISHI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM MR. DAVID BASHOSHO (KUSHOTO) KUTOKA UCC NA MR. R.K CHAMWANA KUTOKA TAASISI YA TAALUMA ZA KISWAHILI-TATAKI WAKIWAPA MAELEZO BAADHI YA WANAFUNZI WA ENABOISHU WALIOTEMBELEA BANDA LETU.

MKURUGENZI WA DIRECTORATE OF KNOWLEDGE EXCHANGE-UDSM PROF. ELISANTE AKISIKILIZA KWA MAKINI SWALI KUTOKA KWA MWANAFUNZI WA SEKONDARI YA ENABOISHU KWENYE BANDA LA UDSM. KULIA NI MWAKILISHI MWINGINE WA UDSM MR. PETER K. MUNTHALI


MR. RAMADHANI THOMAS KUTOKA TAASISI YA TAALUMA ZA KISWAHILI-TATAKI NA MR. DAVID BASHOSHO KUTOKA UCC WAKIWAELEZEA VEMA WAGENI NINI KILICHOMO KWENYE VIPEPERUSHI

KUTOKA KUSHOTO NI MR. R.K. CHAMWANA (TATAKI), DAVID BASHOSHO (UCC), PETER K. MUNTHALI (DIRECTORATE OF KNOWLEDGE EXCHANGE) NA RAMADHANI THOMAS (TATAKI) WOTE KUTOKA UDSM

KUTOKA KULIA NI MR. DANIEL MUGASSA STEPHEN (CONVOCATION LIAISON OFFICER), MR. RAMADHANI THOMAS (TATAKI)MR. R.K. CHAMWANA (TATAKI), MR.DAVID BASHOSHO (UCC) NA PETER K. MUNTHALI (DIRECTORATE OF KNOWLEDGE EXCHANGE)   WAWAKILISHI WA UDSM

PICHANI JUU NA CHINI NI WANAFUNZI WA VYUO MBALIMBALI WALIOTEMBELEA BANDA LETU WAKIPATA MAELEKEZO KUTOKA KWA MR. DAVID BASHOSHO (UCC) KUHUSU HUDUMA NA ELIMU MBALIMBALI ZITOLEWAZO NA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM



MR. R.K. CHAMWANA (TATAKI), MR. RAMADHANI THOMAS (TATAKI) NA MR. DAVID BASHOSHO (UCC) WAKIWAPA MAELEZO WAGENI


WAGENI WALIOFIKIA WALINUFAIKA SANA NA MAELEZO YALIYOTOLEWA NA WAHUSIKA WA KILA BANDA IKIWEMO TUME YA VYUO VIKUU-TCU NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU-HESLB. PICHANI JUU NA CHINI WANAONEKANA BAADHI YA WANAFUNZI WA UCC-ARUSHA WALIOTEMBELEA MAONYESHO HAYO.


KILA MMOJA ALIJICHUKULIA VIPEPERUSHI VYA KUTOSHA ILI KUJISOMEA NA KUPATA UFAHAMU MZURI WA MAMBO YA ELIMU. PICHANI NI WANAFUNZI WA UCC-ARUSHA SAMWEL JOSHUA MWENYE BEGI JEUSI MGONGONI, GOODLUCK BANELE (KATIKATI) NA GERALD IMANI (MWENYE MIWANI)

No comments: