Monday, August 18, 2014

USHIRIKI WA UCC ARUSHA KATIKA MAONYESHO YA NANENANE 2014-THEMI GROUNDS-NJIRO.

BANDA LA UDSM COMPUTING CENTRE-UCC ARUSHA LINAVYOONEKANA NDANI YA VIWANJA VYA NANENANE. WATEJA WALIMIMINIKA SANA KUPATA MAELEZO YA HUDUMA NA BIDHAA TUNAZOTOA.
WAKISUBIRI WATEJA KUANZA KUMIMINIKA BANDANI, HAWA NI WAFANYAKAZI WA UCC ARUSHA. KWA NYUMA ALIYESIMAMA NI DAUDI MLAULE, WALIOKAA TOKA KULIA NI FRANCISCA KAVISHE, DAVID BASHOSHO (AG. BRANCH MANAGER) NA EMMANUEL SAMWEL.
 
WATEJA MBALIMBALI (PICHA YA JUU NA CHINI) WAKIPATA MAELEZO KUHUSU HUDUMA NA BIDHAA ZITOLEWAZO NA UDSM COMPUTING CENTRE.


VIPEPERUSHI MBALI MBALI VILISAIDIA MAELEZO KWA WATEJA WETU NA MAWASILIANO YALIYOANDIKWA HUMO NI MSAADA MKUBWA KWAO

FRANCISCA KAVISHE NA DAUDI MLAULE WAKIENDELEA KUTOA MAELEZO KWA WATEJA WALIOHITAJI UFAFANUZI WA MASWALA KADHAA KUHUSU HUDUMA NA BIDHAA ZETU
MR. EMMANUEL SAMWEL AKIFURAHIA KWA TABASAMU HARAKATI ZA UCC-ARUSHA KUHUDUMIA WATEJA WAO KIKAMILIFU. KWA NYUMA ANAONEKANA MR. DAUDI MLAULE AKIHOJIWA MUBASHARA "LIVE" NA WATANGAZAJI WA SUNRISE RADIO 94.8 Mhz ARUSHA. WATANGAZAJI HAO EZRA AGOLA NA MARY MOLLEL WALIHOJI MASWALI MENGI YA MSINGI KUHUSU HUDUMA ZETU NA YOTE YALIJIBIWA IPASAVYO
No comments: