This blog is for critical thinkers, people with open mind, ready to accept criticisms and work on them. Sharing the know-how, skills and experiences of Life and Technology at large. You are warmly welcome!!
----------------------------------------------------
Blogu hii ni kwa ajili ya wenye fikra makini wapendao kupokea na kufanyia kazi ukosoaji. Walio na mtazamo chanya tena mpana katika kushirikishana maarifa, ujuzi na uzoefu wa maisha na teknolojia kwa ujumla wake. Karibuni sana !!!
Thursday, December 3, 2009
JK ndani ya Cuba
Rais Jakaya Kikwete akiwa ziarani Cuba. Hapa yupo na Rais Raul Castro mdogo wake na Rais aliyepita Fidel Castro. Wadau mtindo wa kupeana madaraka uliotokea Cuba nyie mwauonaje? Ndio mzuri kwa ajili ya kuimarisha amani na utulivu katika nchi au ni utawala wa kuikoo zaidi?
No comments:
Post a Comment