This blog is for critical thinkers, people with open mind, ready to accept criticisms and work on them. Sharing the know-how, skills and experiences of Life and Technology at large. You are warmly welcome!!
----------------------------------------------------
Blogu hii ni kwa ajili ya wenye fikra makini wapendao kupokea na kufanyia kazi ukosoaji. Walio na mtazamo chanya tena mpana katika kushirikishana maarifa, ujuzi na uzoefu wa maisha na teknolojia kwa ujumla wake. Karibuni sana !!!
Thursday, December 3, 2009
Sky Scrapper-Arusha
Hata Arusha tunavyo vikwangua anga kama hicho hapo juu, tatizo ni kusimama kwa ujenzi sijui pesa zimeisha au .... Wadau jengo hili likiisha mji wetu (sio jiji) utapendeza sana.
Du hiloghorofa ni la mafisadi, na wamezuiwa kuendelea kujenga. Inauma sana wakati mwingine huna hela ya mlo mmoja, mwenzako anajenga jumba lenye bwawa la kuogelea hukohuko juu. Acha waburuzwe mahakani kwanza ndo watatia akili.
1 comment:
Du hiloghorofa ni la mafisadi, na wamezuiwa kuendelea kujenga. Inauma sana wakati mwingine huna hela ya mlo mmoja, mwenzako anajenga jumba lenye bwawa la kuogelea hukohuko juu.
Acha waburuzwe mahakani kwanza ndo watatia akili.
Post a Comment