Friday, January 13, 2012

HUYU NDIO MPENZI WA MWIGIZAJI HALLE BERRY!!

mwigizaji STAR Halle Berry (45) yuko kwenye mapenzi mazito na mwigizaji mwenzake Olivier Martinez mwenye umri wa miaka 46, ambae amemvisha pete ya uchumba tayari.
kwa mujibu wa US magazine, Halle ameingia kwenye mapenzi mazito baada ya miaka, ikiwa tayari alishwahi kuolewa mara mbili na kuachika.
haijajulikana bado kama ataolewa na mwigizaji huyo kwa sababu mwaka 2007 alitangaza kwamba hatoolewa tena, na sasa hivi amegundua kwamba anaweza kuwa na mwanaume na kuishi pamoja bila pete ya ndoa.
Martines ameshine kwenye movie kibao kali kama S.W.A.T. (2003), Unfaithful(2002) na Dark Tide (2011).

No comments: