Monday, January 23, 2012

Ingawa kuna vikwazo, njia za panya zatumika Iran

Mu-Iran anayefanya biashara za magendo akipakia seti za TV kupeleka Oman kupitia mlango bahari wa Hormuz. Nchi ya Iran imewekewa vikwazo vya uchumi na kijeshi na nchi za magharibi kutokana na mpango wake wa kurutubisha madini ya Uranium ambayo huweza kutengenezwa silaha za hatari, ingawa pia ni chanzo kizuri cha nishati ya Umeme.Kutoka pwani ya Iran hadi Khasab Oman ni kadri ya maili 35, safari inakamilika.

No comments: