Monday, January 23, 2012

Korongo=Flamingo

Kifaranga cha Korongo wa pink (Phoenicopterus ruber) kikiwa na siku 10 tu tangu kuanguliwa kwenye yai. Ingawa ni kifaranga ila tayari miguu ni mirefu mno. Ona hata miguu ya mama yake kwa nyuma, du si mchezo. Nchi ya Uganda wanamtumia ndege huyu kama alama yao ya Taifa, ndio maana hata timu yao ya taifa nayo inaitwa "Uganda Cranes"

Baada ya muda mfupi kifaranga kiaanza kutembea kwa uangalizi wa mama yake kikitafuta malishokando ya ziwa

No comments: