Tuesday, January 17, 2012

JAMAA AKIIBA MAFUTA KWENYE LORI MATAA YA UBUNGO

Anko Michuzi pole na kazi. Jana jumapili mida ya sa kumi jioni nilishuhudia jamaa akijichotea mafuta toka kwenye lori/gari la mafuta kama anavyoonekana kwenye picha hii, nikaona nimpige picha pasipo yeye kujua, iruushe hewani wadau waone jinsi vijana wasivyoogopa hatari, cha kushangaza watu wengi waliomshuhudia hawakuwa wakisema chochote kana kwamba ni tabia iliyozoeleka!
-- mdau Peter wa blog ya watu!
From Michuzi Blog

No comments: