Tuesday, January 17, 2012

Wamarekani wamkumbuka mtetezi wa haki za binadamu-Martin Luther King Jr.

Waandamanaji wakiwa na mabango ya picha ya Mchungaji Martin Luther King Jr. katika maadhimisho ya 34 ya kumbukumbu yake huko Memphis Tenn Marekani jana Jumatatu January 16, 2012.

Kijana Andrew Boudreaux (mwenye miaka  10) akiongoza maandamano hayo ya maadhimisho ya 34 kwa ajili ya MLK jr. huko Raleigh nchini Marekani

Maandamano ya kumbukumbu hiyo

Mwanahistoria Candi Flora akiwa amevaa pingu halisi za chuma kuadhimisha kuwekwa huru toka utumwani katika maadhimisho ya 34 ya kumbukumbu ya mtetezi wa haki za binadamu Mchungaji Martin Luther King Jr huko Houston Texas, Marekani

Maandamano ya Wall Street huku wakiwa wamewasha mishumaa katika kumbukumbu ya Mchungaji Martin Luther King Jr. huko New York
Rais wa Marekani Barrack Obama (aliyesimama) na mkewe Michelle (aliyechuchumaa-raba za njano na binti yao Malia (kwa mbele yao) wakishiriki katika shughuli za kijamii ili kumkumbuka Martin Luther King jana Jumatatu January 16, 2012. Shughuli hio ilifanyika katika kituo cha Browne Education huko Washington

US President Barack Obama paints a quote of Martin Luther King Jr. on the wall of a library at the Browne Education Center in Washington, DC, on January 16, 2012, to take part in a community service project in celebration of the Martin Luther King, Jr. Day of Service and in honor of Dr. Kings life and legacy.

Rais Barrack Obama akitoa neno fupi wakati wa sherehe ya maadhimisho hayo. Kulia kwake ni binti yake Malia na mkewe Michelle

No comments: