Tuesday, January 24, 2012

Kuongezeka kwa ukame huko Texas kwasababisha kina cha ziwa kupungua

Kisiwa cha Tiki kikiwa kimezungukwa na ziwa Medina ambalo limekauka sana kutokana na ukame huko Texas Marekani. Ziwa Medina lenye kina cha futi 52 halijawahi kukauka namna hii kwa miaka ishirini iliopita. Inakadiriwa litaendelea kupungua inchi kadhaa siku baada ya siku kutokana na ukame unaoendelea kwa miezi 15 ijayo.

Tishari la kupumzikia likiwa linaelea kwa kushkiliwa na nyaya tu, mara baada ya maji kukauka. Ona kwamba hadi mawe katika sakafu ya ziwa yanaonekana. Hali ni mbaya tunakuomba ee Mungu sadia mvua na zinyeshe.

No comments: