Monday, January 23, 2012

Aligoma kuhama yakamkuta haya hapa!

Alikuja mwekezaji akanunua eneo lote la hapa LAKINI huyu jamaa akagoma kuuza na ndipo mwekezaji alipoanza ujenzi wa eneo lake lote la pembeni. Hii imetokea jimbo Chongquing kusini magharibi mwa China. Hapa Tanzania pia niliona kwa macho yangu kule Kunduchi katika machimbo ya kokoto. Nyumba moja ilibaki kama ilivyo hali pembeni kote ni mashimo. Anaingiaje na kutoka ndani? labda kwa Helikopta!!

No comments: