Wednesday, January 11, 2012

Maelfu wamwombolezea askari wa hifadhi aliyeuawa huko Marekani

Askari wenzake wakiingia kwenye kumbukumbu hio. Askari huyo Margareth Anderson mwenye umri wa miaka 34 na mama wa mabinti wawili alipigwa risasi na kuuawa na dereva wa gari ambaye aligoma kusimama katika kizuizi cha barabarani. Askari huyo Benjamin Colton Barnes (24) ni veterani wa vita vya Iraq na alikutwa amekufa siku iliyofuata kwenye milima ya barafu

Hapa askari wenzake wakijiandaa kwa tukio la kumbukumbu hio

Picha yake kubwa ikiwa imewekwa mbele ya vifaa vyake vya kazi

Jeneza lenye  mwili wa Margaret Andersonni askari wa  Hifadhi ya Taifa Marekani likiwa limesimamiwa na askari wawili wa Hifadhi na kufunikwa na bendera ya Taifa lake kabla ya kumbukumbu yake iliyofanyika kanisa la Lutheran Pacific University Campus, Washington jana January 10, .

No comments: