Wednesday, January 11, 2012

UHARIBIFU WA MAZINGIRA ZIWA VICTORIA SI WA KUFUMBIA MACHO



Wakazi wa mji wa Musoma wakichukua mchanga kandokando ya ziwa victoria licha ya serikali kupiga marufuku uchotaji wa mchango kando ya ziwa hilo.Hata hivyo inaoenekana wazi katazo hilo la serikali halijatiliwa mkazo kutokana na kwamba hakuna hata vyombo vya usalama ambavyo vinaweza kutembea kando ya ziwa hilo kwa lengo la kuwakamata wale wanao fanya uharibifu huo.Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii Moshi aliyekuwa Musoma.





No comments: