Friday, January 20, 2012

Ona katuni ya GADO

Aliyechora katuni hii anaitwa Godfrey Mwampembwa a.k.a Gado. Nilisoma nae Azania Secondari pamoja na akina Gerald Hando na Geofrey Nyange "Kaburu". GADO anaishi Kenya kwa muda mrefu sasa.

No comments: