Thursday, January 19, 2012

MZEE YUSSUF ATUA JIJINI NEW YORK TAYARI KWA KUWALAMBISHA WAKAZI WA HUKO

Hatimaye mfalme wa miondoko ya mduara,Mzee Yussuf amewasili jijini New York kwa ajili ya ufunguzi wa ziara yake nchini marekani. Pichani ni Mzee Yussuf katikati akiwa na wenyeji wake hapo nchini Marekani Mao Luangisa kushoto na Tahir Gharib kulia. Wakazi wa New York na vitongoji vyake kaeni mkao wa Kulambaa Jumamosi Jan 21.

No comments: