Friday, January 20, 2012

Polisi wa Uingereza wafanya doria za usalama kwa ajili ya Olimpiki

Zoezi la kijeshi kwa ajili ya usalama limefanyika jana Alhamisi January 19, 2012 katika mto Thames Uingereza likihusisha polisi 44, wanajeshi 94, boti 15 na helikopta kadhaa za jeshi la maji. Hii ni kupima uwezo wao siku kadhaa kabla ya kuanza mashindano ya Olimpiki hapo London mwaka huu

Askari wakiwa katika boti ya kujazwa upepo wakati wa zoezi hilo.

No comments: