Monday, January 23, 2012

Ushawahi ona Tembo anaechora?

Tembo akichora picha ya mti huko Mae Chang Camp katika jimbo la Chiang Mai, umbali wa km 700 kaskazini mwa mji mkuu Bangkok katika Tamasha la uchoraji nchini Thailand. Takriban Tembo 70 walizawadiwa matunda  na mboga aina mbalimbali katika tamasha hilo. Uliwahi kuwaza kwamba Tembo anaweza kuchora?

No comments: