Friday, January 13, 2012

Waasi wa Syria wazidi kukusanya silaha

Askari wa jeshi la Syria ambaye ameasi na kujiunga waasi wa "Free Syrian Army" akiwa amebeba RPG-Rocket Propelled Granade katika kambi yao nje ya mji wa Qusair January 08, 2012

Askari wa jeshi la Syria walioasi na kujiunga na waasi wa FSA wakirekebisha gari lao ili wafunge mzinga juu yake tayari kwa mapambano na Jeshi la Rais Assad.

Baadhi ya Waasi wa FSA wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kujiondoa katika jeshi la Rais Bashir al-Assad.

No comments: