Wednesday, January 11, 2012

Mapambano makubwa huko Philippines wakati nyumba zikibomolewa

Wakazi wanaopinga kubomolewa nyumba zao wakiwarushia mawe askari na kikosi maalum cha ubomoaji katika wilaya ya "Corazon de Jesus" ndani ya jiji la "San Juan" mashariki mwa Manila leo Jumatano Januari 11, 2012

Mmoja wa wanachi hao akiwa amepigwa kabali ya shingo na askari wakati wa tukio hilo

Wananchi wakiwa wamechoma moto kuzuia askari na wabomoaji wasikaribie nyumba zao.

No comments: