Kikosi maalum cha ulindaji na uokoaji wanyama huko Afrika Kusini walimuua kwa bahati mbaya faru huyu ambaye walikuwa wakimtumia kufanyia maonyesho jinsi ya kuwalinda wanyama hao. Jambo hilo lilitokea kituo cha Rhino & Lion reserver Johannesburg Februari 9, 2012. |
No comments:
Post a Comment