Wavamizi hao wakitazama kutoka juu ya jengo walilolivamia wakati zoezi la kuwahamisha likiendelea mjini Sao Paulo huko Brazil |
Mama mjamzito akihamishwa toka nyumba wasizotakiwa kuishi, wengi wao walivamia nyumba zilizokimbiwa na watu ili kujihifadhi lakini huko nako serikali ikawafukuza |
Mama huyu akimnyonyesha mwanae katika makazi ya nuda waliyojihifadhi, mji wa Sao Paulo ulifanyiwa zoezi hilo ili kuuweka katika mazingira ya usafi na unadhifu |
Kijana alieathiriwa na zoezi hilo akiwa amelala kwa uchovu nje ya jengo mojawapo |
No comments:
Post a Comment