Nahodha wa Manchester City, Vincent
Kompany akiwa amenyanyua juu kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu ya England
baada ya kuwafunga QPR katika mechi ya leo.
Mshambuliaji
wa Manchester City, Sergio Aguero (jezi namba 16) akiifungia timu yake
bao la tatu na la ushindi dhidi ya Queens Park Rangers katika mechi
iliyopigwa leo kwenye Uwanja wa Etihad mjini Manchester, England.
Manchester City wametwaa ubingwa wa Ligi Kuu England kwa tofauti ya
mabao na Manchester United.
(Picha zote kwa hisani ya Getty Images)
No comments:
Post a Comment