Mkurugenzi wa African Stars Entertainment (ASET), akitambulisha safu mpya ya uongozi wa bendi. Muddy Pizzaro anakuwa Msemaji wa bendi, Muddy K anakuwa Meneja Matukio, Omary Baraka anaendelea kuwa |Mkurugwenzi Mtendaji, Amigolas anakuwa Meneja wa Bendi, Luiza Mbutu anaendelea kuwa kiongozi wa bendi, akisaidiwa na Saleh Kupaza. Kiongozi wa wanenguaji anaendelea kuwa Maria Salome kwa wanawake na kwa wanaume anaendelea kuwa Sidy Boy. Shughuli hii imefanyika katika ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni, asubuhi hii.
Asha akiwa amezungukwa na Waandishi
Asha akizungumza na Waandishi
Amhela Msangi wa TBC kushoto akipata kitu cha supu
Waandishi wakimsikiliza kwa makini Asha
Victor wa Spoti Starehe kulia na Kambi Mbwana wa Mtanzania
Shakour wa Global na Mateja kulia
Meza kuu, wanamuziki nas viongozi
Wanenguaji wa bendi
Mkurugenzi Mtendaji, Omary Baraka kazini
Luiza na Asha
Mabosi wapya; Muddy Pizzaro kushoto na Muddy K kulia.
No comments:
Post a Comment