Friday, June 1, 2012

Rais Kikwete afungua Mkutano wa AfDB mjini Arusha jana.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa 47 wa mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC mjini Arusha




Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Ivory Cost Dr. Alassane Ouattara akihutubia wakati wa sherehe za ufunguzi wa mkutano wa 47 wa mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) jana mjini Arusha.




Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dr. Donald Kaberuka akihutubia wakati wa sherehe za ufunguzi wa mkutano wa 47 wa mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) mjini Arusha jana.




Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akibadilishana mawazo na Waziri wa Fedha Dr. William Mgimwa (kushoto) wakati wa sherehe za ufunguzi wa mkutano wa 47 wa mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC mjini Arusha




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akipongezwa na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) Dr. Donald Kaberuka (kulia) mara baada ya kumaliza kutoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano wa 47 wa mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC mjini Arusha leo. Katikati ni Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Ivory Cost Dr. Alassane Ouattara.




Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Ivory Cost Dr. Alassane Ouattara (kushoto) akibadilishana mawazo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dr. Donald Kaberuka (kulia) wakati wa sherehe za ufunguzi wa mkutano wa 47 wa mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC mjini Arusha




Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa 47 wa mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) wakifuatilia kwa makini hotuba ya Rais Kikwete wakati wa ufunguzi wa mkutano huo katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC mjini Arusha




Rais Kikwete akiwa na Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara, Rais Mstaafu wa Botswana Mh Festus Moghae, Rais wa Benki ya Africa Dkt Donald Kaberuka, Mshauri wa Mfalme wa Morroco Bw Omar Kabbaj (kushoto) , Waziri wa Fedha Dkt (wa pili kuhsoto) muda mfupi kabla ya kuzindua mkutano Mkuu wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Afrika katika ukumbi wa AICC jijini Arusha.




Ukumbi wa AICC wakati wa Rais Jakaya Kikwete alipkuwa akifungua Mkutano wa Mkuu wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Africa afDB katika ukumbi wa AICC jijini Arusha




Rais Kikwete akiwa na Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara, Rais Mstaafu wa Botswana Mh Festus Moghae, Rais wa Benki ya Africa Dkt Donald Kaberuka, Mshauri wa Mfalme wa Morroco Bw Omar Kabbaj (kushoto) katika picha ya pamoja na Marais wastaafu wa Benki ya Afrika.


No comments: