Basi la watoto wa Msimbazi SIMBA baada ya Kupambwa.
Basi la Watoto wa Jangwani YANGA baanda ya Kupambwa.
Hapa Mabasi yote Kabla hayajatiwa Machata ya Wadhamini na Timu husika.(Simba na Yanga)
Achilia mbali ushabiki binafsi wa timu ..Niambie ww unadhani lipi
limependeza zaidi kwa rangi zake na kuleta mvuto zaidi ya mwenzake?Basi
la SIMBA au la YANGA?
No comments:
Post a Comment