Watangazaji wa Tone Radio-Tz kutoka kushoto Ireen Tilya, John Karani, Sandu George "Kidbwoy", Claudia Mayanka na Yunus Karsan.
TONE Radio-Tz, ni Radio ambayo haitumii Frequency za aina yoyote na
inayo patikana kwa njia ya mtandao pekee , sasa imeanza matangazo yake
ikiwa ni pamoja na Habari, vipindi, mbalimbali vya kuelimisha, Burudani,
Michezo na mengine mengi ambavyo vinaongozwa na watangazaji waliobobea
katika fani ya utangazaji. Radio inasikika popote Duniani Bure kabisa.
Jinsi ya kusikiliza.
Ingia Link hii: www.toneradiotz.com baada ya kufungua hapo upande wa kulia utaona sehemu imeandikwa ON AIR, bofya hapo kisha utaanza kusikiliza radio Live.
No comments:
Post a Comment