BBC Yaongeza muda kwa vijana wafanyabiashara
Tarehe ya mwisho ya kuwasilisha michanganuo sasa ni Ijumaa Mei 23.
Vinaja wanaowania kushiriki katika shindano la Faidika na BBC sasa wana muda zaidi hadi Ijumaa Mei 23 kuwasislisha michanganuo yao. Vijana wenye umri kati ya miaka 16 hadi 24 wana wiki moja zaidi ya kuwaslisha mchanganuo unakaonufaisha jamii yao kwa kutumia zawadi yenye thamani ya dola Elfu Tano za Marekani.
Mchanganuo usizidi maneno 1,500, lugha ni Kiswahili. Unaweza kusikia maelezo zaidi ya jinsi ya kuandika mchanganuo bora katika matangazo ya Dira ya Dunia kila siku kutoka Idhaa ya Kiswahili ya BBC na pia kwenye mtandao wetu bbcswahili.com.
Salim Kikeke, Meneja Mradi wa Fadika na BBC 2008, amesema “ Vijana wametuambia wanahitaji muda zaidi kufanyia kazi kile ambacho huenda kikabadili kabisa maisha yao, ndio maana tumeamua kuongeza wiki moja katika tarehe ya mwisho ya kupokea michanganuo”.
Michanganuo inaweza kutumwa kwa njia ya E-Mail kwa faidika@bbc.co.uk, au kutumwa kwa njia ya posta katika ofisi zetu za kanda.
Faidika na BBC 2008,
Building Maison de la Bible,
Avenue de la Mission,
2eme etage,
En face de PAR, Bujumbura.
Kenya
Faidika na BBC 2008,
Ghorofa ya 5, Longonot Place,
Mtaa wa Kijabe,
P O Box 58621,
Nairobi.
Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.
Faidika na BBC 2008,
P O Box 2790,
Kigali.
Tanzania
Faidika na BBC 2008,
Jengo la PPF,
Ghorofa ya 8,
Barabara ya Sokoine na Morogoro,
P O Box 79545,
Dar es Salaam.
Uganda
Faidika na BBC 2008,
1A, Ruth Towers,
Plot 15A, Clement Hill Road,
P O Box 7620,
Kampala.
Michuano ya kitaifa itafanyika kama ifuatavyo: Burundi, Jumatatu Juni 2; Rwanda na DRC, Jumanne Juni 3; Tanzania, Jumatano, Juni 4; Kenya, Ahamisi Juni 5, na Uganda Ijumaa Juni 6. Washindi sita kutoka katika michuano ya kitaifa, watapambana kuwania zawadi ya kwanza, katika fainali itakayofanyika Uganda, Jumatano Juni 18. Fainali itatangazwa moja kwa moja kupitia Idhaa ya Kiswahili ya BBC na pia kwenye mtandao, katika bbcswahili.com
This blog is for critical thinkers, people with open mind, ready to accept criticisms and work on them. Sharing the know-how, skills and experiences of Life and Technology at large. You are warmly welcome!! ---------------------------------------------------- Blogu hii ni kwa ajili ya wenye fikra makini wapendao kupokea na kufanyia kazi ukosoaji. Walio na mtazamo chanya tena mpana katika kushirikishana maarifa, ujuzi na uzoefu wa maisha na teknolojia kwa ujumla wake. Karibuni sana !!!
Wednesday, May 14, 2008
Kumbe KAduguda Mkorofi Sana!!!

KATIBU Mkuu wa Simba, Mwina Kaduguda amesimamishwa uongozi wa klabu hiyo kwa muda usiojulikana.
Habari zilizopatikana jana jioni zilieleza kuwa Kaduguda amesimamishwa kutokana na tuhuma 11 zilizokuwa zikimkabili.
Tuhuma hizo ziliwasilishwa mbele ya kikao cha Kamati ya Utendaji ya klabu hiyo na kushirikisha watu tisa, baraza la wazee wajumbe watatu na uongozi wote wa Simba.
Kikao hicho ambacho kilifanyika jana jijini Dar es Salaam, maamuzi yake ndiyo yaliyoafiki kusimamishwa kwake (Kaduguda) hadi mkutano mkuu wa klabu hiyo ambao utafanyika baada ya zoezi la uhakiki wa wanachama na kutolewa kwa kadi mpya.
Habari za awali ziliorodhesha tuhuma hizo dhidi ya katibu huyo kuwa ni pamoja na kuwapiga makamu mwenyekiti wa klabu hiyo, Omar Gumbo na katibu msaidizi wa klabu hiyo, Mohamed Mjenga mwaka jana katika mashindano ya kombe la Hija Salehe, visiwani Zanzibar.
Nyingine ni pamoja na kumtukana mwanachama wa klabu hiyo, Dioniz Malinzi mwaka 2007. Malinzi, pia alikuwa mdhamini wa klabu na kumsababisha ajitoe katika udhamini huo.
Pia, anadaiwa kuwatukana makocha wawili wa kigeni ambao waliwahi kuifundisha timu hiyo, ambao ni Nielsen Elias na Neider Do Santos, raia wa Brazil na kusababisha waondoke na kurudi kwao.
Kilieleza kuwa Kaduguda alishawai kuchukua jezi na mipira ya klabu hiyo na mpaka leo hajarudisha klabuni hapo.
Pia, inadaiwa kuwa alitumwa na klabu hiyo kwenda katika kikao cha rufaa ya mchezaji wao ambaye walimchezesha wakati hana adhabu, Juma Said Nyosso katika Shirikisho la Soka la Tanzania, TFF lakinhakwenda na kusababisha kupokonywa pointi tatu.
Katika mechi ya watani Simba na Yanga iliyochezwa Morogoro, kiongozi huyo anadaiwa kuwa aligombana na mtunza fedha wao, Idd akitaka fedha za mapato.
Tuhuma nyingine zinazomkabili ni pamoja na kumpiga mkewe katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, kitu ambacho kiliidhalilisha klabu hiyo ikizingatiwa kwamba yeye ni kiongozi wa klabu hiyo.
Pia, anadaiwa kupigana na mke wake wakiwa Msamvu, Morogoro wakati wakitokea Bukoba kwenye mechi ya Simba na Kagera iliyofanyika Katika Uwanja wa Kaitaba. Pia, wakati wa kurudi aligombana na dereva pamoja na wachezaji baada ya mkewe kutaka gari lisimame kila mara achimbe dawa na inadaiwa kuwa alikuwa amelewa.
Katika kukao cha Jumapili cha uongozi wa Simba na kundi la Friends of Simba, kiongozi huyo anadaiwa kuwa aliwatukana wanachama wa kundi hilo na mdhamini ambaye alikuwa anamlipa kocha Milovan Cirkovic dola 5,000 kwa mwezi na kusababisha asusie kikao na kuondoka.
Tuesday, May 13, 2008
Regret!
I have opened lately my inbox as I was supposed to to it before April 30th. But as a matter of fact I copied some text from some pages without mentioning owners, I had aplan to that but I wonder how I forgot that. I am very sorry for any disturbance caused to anyone for this. I didn't simply consider it to be very serious or important issue in an online community.
Friday, May 9, 2008
Shukrani

Familia ya Victor V. Mujwauzi Karugaba wa Arusha inawashukuru wote walioshiriki kwa hali na mali katika kumuuguza, kumsafirisha hadi kumzika kaka mpendwa marehemu Valery Valentine Karugaba aliyefariki tarehe 29 April 2008 katika hospitali ya St. Elizabeth Arusha kutokana na "Low Blood Pressure" na kuzikwa tarehe 1 Mei 2008 Dar es Salaam.
Shukrani za pekee ziwaendee madaktari na wauguzi wa hospitali ya St. Elizabeth Arusha, Wafanyakazi na uongozi wa Impala Hotel, wafanyakazi wa University of Dar es Salaam Computing Centre-Arusha branch, majirani, marafiki na ndugu na jamaa wote. Ni vigumu kushukuru kila mtu zaidi tunaomba Mungu awazidishie.
Mpaka mauti inamchukua marehemu alikuwa mfanyakazi wa Impala/Ngurdoto Hotel upande wa mapishi ya kichina. Marehemu pia amewahi kufanya kazi katika Hotel mbalimbali ikiwemo Kilimanjaro Hotel, Hotel Karibu, Walk Guard Hotel n.k.
Marehemu atakumbukwa sana kwa ucheshi na upendo wake hasa kwa wale waliosoma naye Mlimani primary school na sehemu nyingine mbalimbali.Marehemu ameacha mjane na watoto watatu."sisi tulimpenda lakini Mungu alimpenda zaidi"
Misa ya shukrani tarehe 10/5/2008 katika kanisa Kuu la Mt. Theresia wa mtoto Yesu- Arusha saa 1.00 asubuhi
~~~ Mimi Mlaule DJ nimesikitika zaidi juu ya msiba huu wa kaka Valery kwavile siku hio aliyofariki saa tano usiku, mchana wake saa sita tulienda kumuona na Bw Victor, ilikuwa kama nimeenda kumuaga maana tuliongea japo hali yake haikuwa nzuri. Iliniuma sana kuambiwa kesho yake kwamba ameshatangulia katika safari ya wote~~~
Presentation and Feedback
I am somehow occupied by office duties and afterall am in my annual leave, I access internet not as frequently as in my office. However I will try my level best to read other blogs and give comments, also compile the assignments for video and audio I have made. I will also respond to the feedback form sent to me.
I hope this week I am going to start this job
I hope this week I am going to start this job
Thursday, May 8, 2008
Binti Mnyonya Damu/Mla nyama za watu

Binti mwenye umri wa miaka 18 kushikiliwa na polisi kwa madai ya kujihusisha na ushirikina.
Binti huyo, Rehema Kefa (18) amekamatwa jana kwa madai ya kuwa katika harakati za kutafuta damu na miili ya binadamu. Inadaiwa kitendo hicho alikuwa anakifanya katika zahanati iliyoko Tabata, Dar es Salaam.
Binti huyo amekamatwa siku nne baada ya mtoto mwingine wa kiume, Ramadhan Mussa (18)kunaswa katika eneo la Hospitali ya Taifa Muhimbi kwa tuhuma za kukutwa na kichwa cha mtoto amabcho alidai kuwa ni anampelekea shangazi yake kama zawadi.
Ilidaiwa kuwa alipokamatwa na kuhojiwa juu ya kichwa hicho, Ramadhan aliyedaiwa kuwa na umri wa miaka 12, alikitoa na kuanza kukitafuna.
Ramadhani alikutwa na kichwa cha mtoto Salome Yohana (3) aliyeuawa Ijumaa usiku kwa imani za kishirikina na kuzikwa juzi kwenye makaburi ya Tabata Segerea, Kwa Bibi juzi.
Lakini Rehema alipokuwa anajieleza baada ya kufikishwa katika kituo cha Polisi Buguruni, jijini Dar es Salaam jana alidai yeye ni mkazi wa Tabata Msimbazi na kukiri kuwa alifika katika Kituo cha Afya Tabata kwa agizo la bibi yake .
Njia mpya za daladala zaongezwa D`salaam
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi kavu (SUMATRA) imetangaza kuanzishwa safari mpya za daladala jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mfawidhi wa SUMATRA Kanda ya Mashariki Bw. Walukani Luhamba, alisema jana katika mahojiano na Nipashe kuwa kuanzia sasa kutakuwa na daladala zinazosafiri kati ya Kimara na Buguruni kupitia barabara za Morogoro na Mandela.
Kwa mujibu wa Bw. Luhamba, njia nyingine mpya ya daladala ni ya kutoka Ukonga hadi Stesheni kupitia barabara za Nyerere na Uhuru.
Kadhalika alisema kutakuwa na usafiri baina ya Mwananyamala na Mabibo.
Aliongeza kuwa mfumo huo mpya utahusisha njia ndefu, fupi na zile za kati na kwamba nyongeza hiyo imezifanya ruti za daladala jijini kufikia 130.
Alisema lengo la kuongeza njia mpya za daladala ni kupunguza msongamano wa magari katikati ya jiji.
Bw. Luhamba aliendelea kuzitaja njia hizo kuwa ni magari yatakayofanya safari kutoka Ukonga hadi Mbagala kupitia barabara ya Nyerere, kutoka Tegeta hadi Kawe kupitia barabara ya Bagamoyo na Kimara hadi Kawe kwa kupitia barabara ya Morogoro na Sam Nujoma.
Njia nyingine ni kutoka Kawe hadi Buguruni kupitia barabara ya Kawawa.
Bw. Luhamba alisema zoezi hilo linakwenda pamoja na usajili wa magari madogo ya abiria Hiace maarufu kama \'vipanya\' ambayo yatakuwa na ruti fupi fupi.
Alisema magari yatakayosajiliwa katika njia ndefu ni yale mabasi makubwa yenye uwezo wa kubeba abiria kuanzia 25 ambayo yatafika hadi pembezoni mwa jiji.
Alisema kuanzia sasa ofisi yake itaanza kudhibiti madereva wenye tabia ya kukatisha ruti.
Bw. Luhamba pia amewapiga marufuku madereva wanaoanza kujipandishia nauli kiholela na badala yake alitaka wafuate taratibu zilizowekwa kisheria
Alivitaja viwango vya nauli vinavyopasa kutumika kwa sasa kuwa ni Shilingi 250 kwa umbali wa kuanzia kilometa 0 hadi 10, Sh. 300 kwa umbali wa kuanzia kilometa 11 hadi 15 na Sh. 350 kwa umbali wa kuanzia kilometa 16 hadi 20.
Bw. Luhamba alisema njia hizo mpya zitaanza kufanyakazi kuanzia wiki ijayo na tayari baadhi ya magari yameshasajiliwa kwa kutumia njia hizo.

Mheshimiwa Zitto Kabwe akiwa Marekani
Connection for further Education!!!
Hi my fellow Students and Tanzanians at large,
“Sijawahi kuona wala kusikia eti mkono umepewa shukrani za dhati na mguu kwa kuutoa mwiba. Ila ni ujinga na upumbavu wa mguu huo kwa kutokutoa shukrani kwa mkono, kwani kuna miili mingi isiyokuwa na mikono. Na mara ichomwapo na miiba hutaabika sana. Hivyo basi napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwako Mdau MICHUZI na jopo lako la kamati ya ufundi (technical bench) kwa kuweza kuleta chombo cha mawasiliano kwa wadau wote hapa Tanzania na ughaibuni kwa ujumla.”
I’m hereby interested to share with you this golden opportunity of scholarship for masters in overseas (not abroad). I think many of us know the distinction between overseas and abroad. The opportunity I’ve is only information. To me, information on things to prepare before applying for scholarships, how to find the right scholarship out of multiple cases, and responding to particular scholarship are corner-stone of what I call “Scholarships for Masters-Abroad”. In this context, scholarship should not be reduced to mean admission as many people confuse. Scholarships deal with money or rather financial assistance.
Getting a scholarship for an overseas study is a competitive process. This is because many people like you want the scholarship, but not all can be awarded. The scholarship money is simply not enough to fund all at once. Also, the scholarship providers want to ensure that only the best, well prepared applicants are selected and so the money is spent rightly and efficiently to what it is intended for. So, you have to be a winner!
Lots of people have won scholarship. You hear this every time. But how have they done this good job? Are they luckier or more superior or intelligent than others? No, they are not! If you ask them about the winning secrets are, they may simply give you the following lists: things to prepare or consider before applying a scholarship.
The list is written in my blog www.makulilo.blogspot.com as taken from cambodiajobs.blogspot.com. I kindly ask you all to make a view of it soon.
So, these are things that you may prepare or consider before applying a scholarship. Remember that a good preparation equals to halfway through the whole process. Be prepared and win the scholarship!
On the basis of the above-mentioned facts, I’ve seen it is imperative that students from all parts of Tanzania to have networks, not of serious frauds (Ufisadi) rather on what I call Global Movement Approach – Think Global, Move Global.
Personally, I’ve created my personal blog in which I’ve put lots of scholarship opportunities for African countries, Internships, Working Abroad, Volunteering in international working environment, to mention a few. I’ve collected such opportunities from different websites, so they are not mine. You’ll see some official links of the websites or sources of information. The access to the blog is 100% FREE OF CHARGE, and you can give out your comments on how to further improve the site, more clarification on specific opportunity you’ve seen/explored.
The blog name is www.makulilo.blogspot.com
E-Mails for personal contacts:
ernest_makulilo@yahoo.com
OR msauzi101@yahoo.com
Mobile: 0713-383853
Be prepared and win the scholarship!

Subscribe to:
Posts (Atom)