Tuesday, March 6, 2012

Hata viumbe wengine wapo wanaozaliwa WAMEUNGANA-Ona Kobe/Kasa huyu!

Kobe/Kasa kitaalam "Testudo horsifieldi" akionyeshwa katika maonyesho ya asili huko Kiev nchini Ukraine jana Jumatatu Machi 5, 2012. Kobe/Kasa huyu ana vichwa viwili na miguu sita. Ni uumbaji wa Mungu!

No comments: