WAKIJIANDAA KUINGIA KANISANI |
MASHUHUDA NAO WAKIINGIA |
EMMANUEL SAMWEL (KUSHOTO) STAFF MWENZAKE ALIKUWEPO |
WAZAZI NA NDUGU WENGINE |
WAZAZI NA NDUGU WENGINE |
BWANA HARUSI (KULIA) AKIINGISINDIKIZWA NA JACKSON BENT |
BIBI HARUSI AKIINGIA |
MISHITA ANAHAKIKISHA KAMA NDIYE AU SIYE, ANAMFUNUA SHERA |
ALIPOGUNDUA NDIYE AKAANZA SAFARI KUJA MADHABAHUNI |
MCHUNGAJI ALIYEIWAKILISHA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO KUWAUNGANISHA KATIKA NDOA. JE UNAFAHAMU KWAMBA CHETI CHA NDOA NI MALI YA SERIKALI NA KWAMBA VIONGOZI WA DINI WANAAMINIWA TU? |
WAKISIKILIZA MAELEKZO YA MCHUNGAJI KATIKA MIKAO TOFAUTI |
STEPHEN ANAIHAKIKISHIA HADHARA KUWA HAKUNA KIZUIZI KWAKE KUMUOA MARIA |
MARIA ANAIHAKIKISHIA HADHARA KUWA HAKUNA KIZUIZI KWAKE KUOLEWA NA STEPHEN |
KAKA WA MARIA ALIKIRI KUMTOA DADA YAKE AOLEWE. "DADA HUYO ANAOLEWA X2 MAAAHARI, ISHATOLEWA" |
WAKAANZA KUUNGANISHWA UNGANIKO TAKATIFU |
STEPHEN ANAVALISHWA PETE |
MARIA ANAVALISHWA PETE |
"SASA NI MKE NA MUME" NA WANAOMBEWA BARAKA |
WANAWEKA SAINI KATIKA VYETI |
WAMEPENDEZA KWA KWELI |
WANAKABIDHIWA VYETI VYA NDOA |
SHAMRASHAMRA NJE YA KANISA |
SAFARI YA KUELEKEA BUSTANINI NA UKUMBINI |
SEHEMU YA MSOSI |
MEZA KUU |
MEZA ZA WAALIKWA |
MEZA KUU |
MATARUMBETA |
TABASAMU PEVU |
AMANI NA UPENDO ZITAWALE MAISHANI MWENU |
MAWIFI WAKISEREBUKA |
JACKSON BENT NA MKEWE WAKIINGIA UKUMBINI |
NDUGU NA WAALIKWA WAMEJIPANGA KUWAPOKEA MAHARUSI |
BWANA HARUSI STEPHEN ALITANGULIA |
KISHA MKEWE MARIA AKAFUATA |
KEKI IKAKATWA |
WAKALISHANA |
JACKSON BENT NA MKEWE NAO WAKALISHANA |
NDAFU |
NDAFU IKAKATWA |
MR. DAVID BASHOSHO (STAFF MWENZAKE) NAE ALIKUWEPO |
BASHOSHO NA EMMANUEL |
HANZURUNI NA EMMANUEL |
GERAZI, HANZURUNI NA EMMANUEL |
HAPA WAKIFUATILIA KINACHOENDELEA |
MSOSI TIME |
KWA UPENDO ZAIDI |
JACKSON BENT AKITUMBUIZA UKUMBINI |
ZAWADI ZA WANA-UCC ARUSHA KWA MWENZAO |
No comments:
Post a Comment