Mwenyekiti
wa kundi la wajasiriamali la 'Mongo', Bi Emiliana Mtegete (wa pili
kushoto, kofia nyeupe) akimzawadia Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, gome la
mti liitwalo 'Lubugu' kwa Kihaya, kwa ajili ya kushonea suti. Kwa
mujibu wa Mtegete, gome hilo lina thamani ya sh. 60,000. Wa kwanza
kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mecky Sadiq, na wa tatu kulia
ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera.
No comments:
Post a Comment