 |
| Muonekano wa banda letu UCC-Arusha katika viwanja vya Nane Nane Themi-Njiro |
 |
| Jirani zetu wauza gesi |
 |
| Vodacom ndio tumegusana mbavu |
 |
| Kikundi cha wamasai kutoka Longido wakitumbuiza mchana huu mbele ya jukwaa kuu |
 |
| Jirani zetu ChemiCotex watengenezaji wa WhiteDent |
 |
| Ndani ya banda la UCC wanaonekana Ticha Emmanuel Samwel mtaalam wa Cisco Networking na Diploma Graduant wetu Abdallah Mungia |
 |
| Wageni wengi wanatembelea banda letu kupata maelezo ya kozi na huduma mbalimb |
ali tunazotoa. Picha zaidi zinafuata, endelea kufungua BLOG YETU kila baada ya muda mfupi.
No comments:
Post a Comment