Tuesday, November 20, 2012

WALIOMUUA FUNDIKIRA WAHUKUMIWA KIFO 
Marehemu Swetu Fundikira enzi za uhai wake.
Wakiingizwa mahakamani
 
Watuhumiwa waliohukumiwa kifo kutokana na mauaji ya Fundikira.
WATUHUMIWA katika mauaji ya Swetu Fundikira,  MTM 1900 Sajenti Roda Robert (42) wa kikosi cha JKT - Mbweni na MT 75854 Koplo Ally Ngumbe (37) wa JWTZ-Kunduchi leo wamehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.

No comments: