Friday, May 17, 2013

SHIGONGO ATOA SOMO KWA WAJASIRIAMALI WA BENKI YA NMB MOROGORO


Pichani juu ni Eric shigongo akiongea na wajasiriamali wa benki ya NMB katika ukumbi wa Hoteli ya Oasis mjini Morogoro leo.
Meneja Joseph lsaac Mwingilo (kulia) akiongea jambo na Shigongo baada ya semina hiyo.
Afisa Mikopo wa NMB tawi la Wami, Elizabeth Mbunda, akibadilishana mawazo na Shigongo kuhusu mambo ya ujasiriamali.
(PICHA NA DUSTAN SHEKIDELE, GPL / MOROGORO)

No comments: