Thursday, January 19, 2012

Askari wa Marekani wawaokoa mabaharia wa Iran



Askari wa Marekani wakiwa katika boti ndogo wakiwakaribia mabaharia wa Iran ili kuwapa msaada

Mabaharia wa kimarekani kutoka meli ya USS Dewey wakiwapa chakula, maji na madawa mabaharia wa Iran waliowaokoa jana Jumatano

No comments: