Thursday, January 19, 2012

Kumtazama mtu mrefu ni mateso fulani-Ahahahaaaaaaa!

Hillary Clinton, Waziri wa mambo ya ncji za nje wa Marekani akimtazama (kwa tabu huku ameinua sana shingo) mtu mrefu sana aitwaye Kareem Abdul-Jabbar. Mtu huyo ambaye alikuwa mchezaji Basket Ball-NBA hivi karibuni ameteuliwa kuwa balozi wa dunia katika maswala ya utamaduni na ataanza safari ya dunia nzima kufanya kazi hio. Ni mrefu sana kama unavyoona.

No comments: