Thursday, January 19, 2012

Ona jinsi barafu ilitapakaa huko Seattle-Marekani

Linganisha picha ya juu kabla ya barafu na picha ya chini baada ya barafu kutapakaa.

Kutoka juu katika paa la Merril Gardens Retirement Community ndivyo inavyoonekana barabara ya 35th Avenue

Hapa ni Beacon Hill-Seattle

Hapa ni Nguzo ya Totem Rotary View Park , 35th Avenue

Hili ni daraja la Joze Rizal-Seattle Marekani

No comments: