Wednesday, May 30, 2012

MZEE IDD SIMBA NA WENZAKE WANNE WAFIKISHWA MAHAKAMA KWA MAKOSA YA JINAI

Aliyewahi kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara miaka ya nyuma,Mh. Idd Simba (kulia) akiongea na Wakili Said Hamad El-Maamry wakati alipofikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo kujibu mashata 8 likiwemo la kudanganya, kughushi na kulitia hasara ya sh. milioni 320 Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA).

Mshtakiwa huyo Iddi Simba alifikishwa mahakamani hapo pamoja na washtakiwa wengeni watatu akiwemo Diwani wa zamani wa kata ya Sinza, Salum Mwaking'nda.mtuhumiawa mwingine katika kesi hiyo akiwa mahakamani hapo. Kushoto ni wakili wake Said El-Maamry

Mwanamke huyu hakuwa na ujasiri wa kuonyesha sura mbele ya kamera, akajifunika mtandio

Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Sinza, Salum Mwaking'nda akiwa Mahamani.

No comments: