Wednesday, February 29, 2012

MTOTO WA GADDAFI ATAKA NYARAKA ZA KIFO CHA BABA YAKE!!

Mwanasheria wa mtoto wa kanali Muammar Gaddafi amefungua shauri kisheria katika mahakama ya kimataifa ya makosa ya uhalifu (ICC) kutaka nakala ya vyeti vya kifo cha kiongozi huyo wa zamani wa Libya.


Mwanasheria huyo wa Aisha Gaddafi, Nick Kaufman amesema hatua hiyo inachukuliwa kama sehemu ya kuonyesha kuwa baraza la serikali ya mpito ya Libya haikuendesha kwa usawa kesi ya kaka yake  Saif al-Islam ambaye alikamatwa jangwani kusini mwa nchi hiyo mwezi Novemba mwaka jana.


Mahakama hiyo ya makosa ya uhalifu huko The Hague,Uholanzi imemwambia mtoto huyo wa Gadafi,Aisha ambaye yupo nchini Algeria kutafuta taarifa kutoka kwa mamlaka mpya za Libya.


Hata hivyo mwanasheria  Kaufman amesema hakuna upande wowote wa serikali mpya uliokubali maombi yake ya kutaka taarifa juu ya kifo cha baba yake.

Je unajua kwamba BABU WA SAMUNGE bado anaendelea na kazi? Ingawa watu wachache sana!

Mchungaji Ambilikile Masapila 'Babu kikombe' akiwa na mmoja wa wadau wake Mpigapicha wa Gazeti ya Changamoto, Albert Jackson, alipomtembelea katika ofisi zake zilizopo katika kijiji cha Semunge Loliondo. Hivi sasa babu yupo katika mchakato wa kujenga kituo kikubwa ambacho kitakuwa na uwezo wa kuhudumia wananchi wengi kwa wakati mmoja ili aanze tena awamu ya pili. Kwa maoni yako je watu wataenda kwa wingi kama ilivyokuwa awali?

Kuna Ukweli au hofu zake tu?

Kaza buti mtani, zote ni timu tu!

Tamasha la PASAKA ni April 8-UWANJA WA TAIFA -DAR ES SALAAM

WADAU wa muziki wa Injili wa Dar es Salaam, wameipongeza Kampuni ya Msama Promotions kwa kuamua tamasha la Pasaka kufanyika kwenye Uwanja wa Taifa badala ya Diamond Jubilee. 

Maoni hayo yametolewa na baadhi ya wadau wa muziki wa Injili waishio Dar es Salaam baada ya kutangazwa kuwa tamasha la Pasaka litafanyika Aprili 8 mwaka huu Uwanja wa Taifa. "Nikiwa Mkristo mwenye kupenda kusikia ujumbe wa neno la Mungu pia kwa njia ya uimbaji, nimefurahi sana kusikia tamasha la Pasaka litafanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam," alisema Jimmy Bukuku wa Mbagala.

Bukuku anayeabudu Kanisa la Pentekoste Church of Holiness Mission (PCHM) la Tandika, alisema kwa namna fulani tamasha hilo litawakuza watu kiroho. Alisema, mbali ya kuburudisha na kufariji, ujumbe wa neno la Mungu ambao hupatikana kupitia nyimbo, huweza kuwabadili wengi.

Bukuku alisema kutokana na ujumbe wa neno la Mungu kumgusa kila mwanadamu, ndio maana muziki wa Injili umekuwa ukiwagusa wengi bila kujali ni Mkristo au Muislamu. Alisema kwa upande wake analiombea tamasha hilo ili lifanikiwe kwa sababu limekuwa likiwabadili na kuwajenga wengi kiroho.

Alisema analisubiri kwa shauku tamasha hilo la Pasaka akiamini litakuwa lenye upako kama yaliyowahi kufanyika chini ya Msama Promotions. Mdau mwingine aliyegusia tamasha hilo, ni Furaha Masinga wa Kanisa la Mchungaji David Mwasota ambaye kwa upande wake, alisema litasaidia wengi kuimarika kiroho.


Ukiwa Arusha kwa kupata Raha kupo tu!


Jengo laporomoka huko Urusi baada ya mlipuko wa gesi

A handout picture issued by the Astrakhan branch of the Russian Emergency Ministry shows a general view of an apartment building after gas explosion on a lower floor in the city of Astrakhan in southern Russia on Monday. The collapse of entire section of a nine-storey residential house injured 12 people, and 10 people are missing.

Russia's members of Emergency Situation Ministry and Interior Ministry officers work at the site of a damaged nine-storey building in Russia's southern city of Astrakhan on Monday. The building collapsed after a household gas explosion, injuring 12 people according to preliminary information released by local media.

Rescuers inspect debris of an apartment building after an explosion on Monday.

Mazoezi makali ya kupambana na fujo/ugaidi huko Korea

Security guards take part in an event at the presidential office Cheong Wa Dae in Seoul, South Korea, Feb. 27 to demonstrate their skills on how to deal with terrorism and other emergencies as part of their preparations for the upcoming Nuclear Security Summit. Top leaders from more than 50 nations and international organizations are expected to attend the summit, set for March 26 - 27 in Seoul

A South Korean presidential body guard shoots a net at a "terrorist" during an anti-terror drill at the president's residence on Feb. 27, showcasing security preparations for an upcoming nuclear summit in Seoul.

A female presidential body guard shows her martial art skills during an anti-terror drill at the president's residence on Feb. 27, showcasing security preparations for an upcoming nuclear summit in Seoul. South Korea vowed tight security to guard world leaders against attacks by protesters and terrorists.

Tuesday, February 28, 2012

Serikali ya Pakistan yaibomoa nyumba alimouawa Osama bin Laden

A girl walks past the building where al-Qaida leader Osama bin Laden was killed by U.S. special forces last May while demolition work is carried out in Abbottabad, Pakistan, Feb. 26. Pakistani forces began demolishing the house in an unexplained move carried out in the dark of night.

Workers demolish the compound where Osama bin Laden was killed, in Abbottabad, Pakistan, Feb. 25. 

Utamu wa Basketball ni KUDANK!

Jeremy Evans wa Utah Jazz akiruka juu zaidi ya mtu aliekaa katika kiti wakati wa shindano maalum la kudank (Slum-Dunk) kwa nyota wa kikapu wa NBA. HAyo yalifanyika mwishoni mwa wiki hii huko Orland Florida Marekani
Missouri guard Michael Dixon (11) hold his head while Kansas guard Travis Releford waves a towel in celebration following Kansas' win over Missouri 87-86 in overtime, in Lawrence, Kan.

Mtu mfupi kuliko wote Duniani ni huyu hapa!

Chandra Bahadur Dangi, 72, who claims to be the world's shortest man standing at a height of 22 inches, walks along a passage at a hotel in Kathmandu, Nepal, Feb. 26. Dangi is scheduled to be verified as the world's shortest man by the Guinness World Records committee today in Kathmandu. If certified, Dangi will beat Junrey Balawing of Philippines, the current Guinness World Record holder who stands at a height of 23.5 inches.

Monday, February 27, 2012

Bi Cheka ft Mh Temba - Ni wewe (www.eastafricanhit.com)

Mabaki ya kambi ya wakimbizi ya Um-Piam ilitoteketea kwa moto Februari 23, 1012, ni madhara makubwa kwa kweli na hali imekuwa mbaya sana kwa wakimbizi walionusurika

Friday, February 24, 2012

TAARIFA KUHUSU UWEPO WA DAWA BANDIA YA KUTIBU UGONJWA WA MALARIA IITWAYO ELOQUINE


MAMLAKA YA CHAKULA NA DAWA.
 TAARIFA KWA UMMA TAARIFA KUHUSU UWEPO WA DAWA BANDIA YA KUTIBU UGONJWA WA MALARIA IITWAYO ELOQUINE (Quinine Sulphate 300mg USP)  Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) ni wakala wa Serikali iliyo chini ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii yenye jukumu la kudhibiti ubora, ufanisi na usalama wa vyakula, dawa, vipodozi na vifaa tiba ili kulinda afya ya jamii.TFDA inapenda kuutaarifu umma kuwa imebaini kuwepo kwa dawa bandia ya kutibu ugonjwa wa Malaria katika soko. Dawa hiyo inaitwa Eloquine (Quinine Sulphate 300mg U.S.P) na ipo katika makopo ya vidonge 1000 (elfu moja) kila moja. Maelezo yaliyopo katika lebo  yanaonesha kuwa dawa hiyo imetengenezwa na kiwanda cha Elys Chemical Industries Ltd cha nchini Kenya.  Hata hivyo, TFDA imebaini kuwa kiwanda cha Elys Chemical Industries Ltd hakitengenezi dawa yenye jina la biashara la ‘ELOQUINE’. Kiwanda hicho kimesajili Tanzania Quinine Sulphate 300mg B.P isiyo na jina la kibiashara. Aidha, kiwanda cha Elys Chemical Industries Ltd kimebainisha tofauti mbalimbali zilizopo katika lebo ya dawa bandia ikilinganishwa na dawa halisi inayotengenezwa na kiwanda hicho iliyosajiliwa na TFDA na hivyo kuthibitisha kuwa kiwanda hicho hakitengenezi dawa hiyo.Katika kudhibiti usambazaji wa dawa hiyo hapa nchini, hadi sasa TFDA imekamata jumla ya makopo 155 ya dawa hiyo bandia ya Eloquine jijini Dar Es Salaam yaliyokuwa yakisubiri kusambazwa. Aidha, kopo moja lenye vidonge 115 limekamatwa Moshi, Kilimanjaro. Tayari mtuhumiwa mmoja amekwishafikishwa mahakamani na upelelezi wa chanzo na wasambazaji wa dawa hii unaendelea kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi.Uchunguzi wa dawa bandia katika maabara umebaini kuwa vidonge hivyo havina kiambato hai (active ingredient) cha Quinine Sulphate kwa ajili ya kutibu ugonjwa wa Malaria na hivyo matumizi yake ni hatari kwa afya ya binadamu.Maelezo ya kina yanayotofautisha dawa halisi iliyosajiliwa na dawa bandia ni kama yalivyoainishwa katika jedwali hapa chini.




Dawa halisi iliyosajiliwa Maelezo ya  dawa bandia 
·         Jina la dawa: Quinine Sulphate 300mg B.P


·         Jina la biashara: Haina jina la biashara


·         Mtengenezaji: Elys Chemical Industries Ltd, Road B, Off Enterprise Road, P.O Box 40411, 00100 Nairobi, Kenya


·         Rangi ya Lebo: Nyeupe na kahawia (Brown)


·         Namba ya toleo: Huanzia na namba na siyo herufi. Kwa mfano: 2167E










·         Muda wa matumizi (Shelf life): Miaka 4 ·         Jina la dawa: Quinine Sulphate 300mg U.S.P


·         Jina la biashara: ELOQUINE






·         Mtengenezaji: Elys Chemical Industries Ltd, Road B, Off Enterpises Road, P.O Box 4011 00100 Nairobi, Kenya


·         Rangi la Lebo: Njano na Nyekundu






·         Namba ya toleo: GE410






·         Tarehe ya kutengenezwa: 04/2009






·         Tarehe ya mwisho wa matumizi: 4/2014 (Miaka 5)








Wafanyabiashara wote wa dawa na wananchi wanatahadharishwa kutozitumia dawa hizi na wale wote waliouziwa dawa  hizi wanaelekezwa kuzirudisha dawa hizo katika ofisi za TFDA, vituo vya afya vya Serikali au vituo vya polisi vilivyo jirani nao. 


TFDA inapenda pia kuwakumbusha wafanyabiashara wa dawa, wasafirishaji wa vifurushi  na wananchi kutoa taarifa haraka iwezekanavyo pale wanapohisi kuuziwa dawa duni, bandia au zilizoisha muda wa matumizi. Taarifa zitolewe ofisi za TFDA makao makuu zilizopo Barabara ya Mandela, EPI Mabibo External, Dar es Salaam na Ofisi za Kanda zilizopo mtaa wa Nkurumah, Mwanza, Mtaa wa Sakina – Arusha, Hosptali ya mkoa ya Dodoma na Jengo la Ofisi ya Mifugo Mkoa wa Mbeya.


Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana na:-


MKURUGENZI MKUUMAMLAKA YA CHAKULA NA DAWAEPI MABIBO EXTERNAL,S.L.P 77150, DAR ES SALAAMSimu: + 255 222 450512/450751/452108Nukushi: + 255 222 450793Barua pepe: info@tfda.or.tzTovuti: www.tfda.or.tz

Israeli inazidi kujengwa-Kwa "Mtini" jifunzeni

A Palestinian worker labors at the construction site at the Jewish West Bank settlement of Shilo on Wednesday. Israel gave preliminary approval on February 22 to a plan to build 600 new homes in a settlement deep inside the West Bank, a move that drew a rebuke from the United Nations and Palestinians and threatened to raise new tensions with the U.S. as the prime minister prepares to head to the White House.

Moto wateketeza vibanda 1000 katika kambi ya Wakimbizi

Moto mkubwa ukiteketeza kambi ya wambizi kutoka Myanmar huko Um Piam magharibi ya jiji la Bangkok nchini Thailand

Mkimbizi mtoto kutoka Myanmar akiangalia kwa masikitiko vitu vilivyoteketezwa na moto huo

MATANGAZO YA TELEVISHENI KWA KUTUMIA TECHNOLOJIA YA ANALOGI SASA KUHAMIA KWENYE TEKNOLOJIA DIJITALI

Waziri wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,Prof. Makame Mbarawa akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam (hawapo pichani) kuhusu usitishwaji wa matangazo ya Televisheni kwa kutumia Technolojia ya analogi na kuhamia teknolojia ya utangazaji ya dijitali ambao utasitishwa rasmi tarehe 31 Disemba mwaka 2012 saa sita kamili usiku. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dk. Frorens Turuka.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Dk. Frorens Turuka akijibu maswali ya waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu usitishwaji wa matangazo ya Televisheni kwa kutumia Technolojia ya analogia na kuhamia teknolojia ya utangazaji ya dijitali ambao utasitishwa rasmi tarehe 31 Disemba mwaka 2012 saa sita kamili usiku. Kushoto ni waziri wa wizara hiyo Prof. Makame Mbarawa

Thursday, February 23, 2012

Hatimaye UCC Arusha tumefungiwa Video Conference System

Baada ya kufunga vifaa, mafunzo ya msingi kuhusu utumiaji yalianza na hayo ndio materials yenyewe.

Mkufunzi wetu Mr. Isaac Rodgers kutoka Emec Engineering Ltd akielekeza jinsi ya kuunganisha "CODEC" na vifaa vingine

Taswira ya baadhi ya wafanyakazi wa Arusha waliokuwepo darasani-TR 2, wakionekana katika mitambo hio-Kumradhi picha si nzuri sana!

Waliohudhuria mafunzo hayo mafupi ndio hawa. Mtaalam wetu Mr. Isaac Rodgers ametushauri kuboresha chumba hiki chenye mitambo kwa kuweka mwanga wa kutosha hapa ndani na kuzuia kabisa mwanga kutoka nje ya darasa. Hio itafanya taswira iwe bora zaidi ya hii unayoiona. Tumefundishika mambo mazuri sana tena ya kitaalam. Asante UCC!

POLISI WATUMIA SILAHA ZA MOTO KUTAWANYA MAANDAMANO YA WANANCHI SONGEA

Polisi wakiwa katika gari lao wakati wa kutuliza vurugu zinazoendelea wakati huu mjini songea baada ya wakazi wa manispaa hiyo kuandamana kupinga mauaji ya raia wasio na hatia yanayofanywa na watu wasiojulikana.


Polisi wakiwatawanya na kuwakamata baadhi ya waandamanaji hao katika manispaa ya Songea baada ya wakazi wa manispaa hiyo wengi wao wakiwa madereva wa pikipiki kuandamana hadi ofisi ya kamanda wa polisi mkoa wa Ruvuma kupinga mauaji ya watu yanayoendelea kwa kasi mjini humo ambao hadi sasa jeshi la polisi halijafanikiwa kuwakamata wauaji.

MADEREVA PIKIPIKI WAKIWA WAMEFUNGA BARABARA YA SONGEA KWEWNDA TUNDURU KARIBU NA MLANGO WA KUINGILIA OFISI YA MKUU WA MKOA WA Ruvuma,wakilitaka jeshi la polisi mkoa huo kuchukua hatua dhidi ya mauaji ya watu yanayoendelea mjini songea ambapo hadi sasa zaidi ya watu 8 wameuawa na watu wasiojulikana wengi wao wakiwa ni madereva wa pikpiki.

Tuesday, February 21, 2012

Ajabu na kweli, Mtu aishi katika gari lililozingirwa na barafu kwa miezi 2 bila kufa

A snowed-in car is seen in the woods north of Umea in northern Sweden, Feb. 18. A middle-aged Swedish man was found alive in the car on Friday after sitting in it for the past two months, with only ice and snow to keep him alive, according to local police.

Katuni za Rais wa ufaransa Nicolas Sarkozy na Kansela wa Ujerumani Angela Merkel

Kama ni hapa nchini kwetu ukiwachora wakubwa utabaki salama?
A carnival float depicting German Chancellor Angela Merkel and French President Nicolas Sarkozy made from papier-mache at the traditional Rose Monday carnival parade in Duesseldorf Feb.20, 2012.

Sanamu ya Rais Barrack Obama yazinduliwa huko Puerto Rico

A JROTC cadet walks past a covered bronze statue of President Barack Obama prior to an unveiling ceremony along the "Avenue of Heroes" outside the capitol building, in San Juan, Puerto Rico on Feb. 20

 In San Juan, Puerto Rican officials marked Presidents Day by unveiling bronze statues of U.S. President Barack Obama and former President Lyndon B. Johnson, pointedly noting that people who live on the island can't vote in the U.S. general election and lack other basic rights.
The two life-sized statues are the newest additions to the "Avenue of Heroes," outside the capitol building in the U.S. island territory. The statues honor every sitting president who ever visited Puerto Rico, dating back to Theodore Roosevelt. Obama became the eighth when he visited in June.  


A junior ROTC color guard advances with the national flags of the U.S. and Puerto Rico, at the an unveiling ceremony in San Juan on Feb. 20.

Puerto Rico's resident commissioner Pedro Pierluisi and Sen. Carmelo Rios unveil a bronze statue of President Barack Obama at the Avenue of Heroes outside the capitol building, in San Juan.

Zito Kabwe amaliza amaliza ziara yake mkoani Tanga

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh. Zito Kabwe akihutubia umati wa watu katika uwanja wa Manundu Shule ya Msingi Mazoezi jirani kabisa na stend kuu ya wilaya.

Diamond - Mawazo (Official Video www.teentz.com)

Saturday, February 18, 2012

Basi la Abood lapata ajali maeneo ya Mbezi leo

Basi la kampuni ya Abood likiwa limepinduka maeneo ya Mbezi likiwa linatoka Mkoani Morogoro kuelekea Dar es salaam asubuhi ya leo.Chanzo cha ajali hii hakikujulikana ila inasemekana ni kutokana na dereve kuovertake gari mbele na hatimaye kumshinda na kupinduka

Moto wateketeza soko na kuharibu vibanda 500 huko Peru

Wakazi wa jiji la Lima nchini Peru wakipekua kupata chochote katika mabaki ya maduka yao takribani 500 yaliyoteketea kwa moto

Huyu nae amejiokotea furushi la juice katika katoni

Jamaa najaribu kumwagia maji kuzima moto ili kuokoa chochote

Kungángánia madaraka kunasababisha haya yote huko Senegal

An anti-government protestor holds a Muslim prayer bracelet as he gestures on his knees to the riot police during clashes in Dakar, Senegal, Feb. 17. Senegalese police sealed off a main square in the capital Dakar and fired tear gas to disperse demonstrators who gathered on Friday in protest against incumbent President Abdoulaye Wade's bid to seek a third term in a Feb. 26 poll.

Anti-government protesters throw rocks at police in Dakar on Feb. 17.

Riot police fired tear gas at protesters Friday on a main commercial boulevard in the Senegal capital of Dakar, after the country's opposition went ahead with a protest in defiance of a government ban.
Demonstrators are calling for the departure of 85-year-old President Abdoulaye Wade, who is running for a third term in next week's election.
A policeman reacts by firing live rounds from a pistol, after being struck in the head with a rock by anti-government protesters, during running clashes in central Dakar, Senegal on Feb. 17. The police fought running battles with protesters who hurled stones, burned trash and set up barricades along avenues in the city center, forcing businesses to close for the afternoon.

A riot police officer looks at a boy he arrested during clashes with anti-government protesters in Dakar an Feb. 17.
Senegal is just a week away from a much-anticipated presidential election, the first in five years. Electoral law allows candidates to hold rallies in the pre-election period, but the interior minister issued a statement this week saying that he had refused to authorize the protests because of the threat to public order.

Thursday, February 16, 2012

Ziara ya Vice Chancellor-UDSM Profesa Rwekaza S. Mukandala alipotembelea UDSM Computing Centre-Arusha

Hii ni picha ya pamoja aliyopiga na wafanyakazi wa UCC tawi la Arusha. Kushoto kwenda kulia Mr. David Bashosho, Mr. Antious Gerazi, Mimi(Daudi Mlaule), Meneja wetu Florence Masebo(Mrs Lupenza), Mgeni wetu rasmi Profesa Rwekaza S. Mukandala VC-UDSM, Mr. Isaac Kambira DMD-BUSE-UCC, Mr. Juma Hanzuruni na Esther Kilimba (Mrs. Mbise)

Mr. Isaac Kambira DMD-BUSE-UCC akijipongeza kwa chakula, "mwili haujengwi kwa mawe jamani"

Mr. Isaac Kambira  (kushoto) na Meneja wetu Florence Masebo(Mrs Lupenza)

Hapa ni zoezi la kukagua kiwanja cha UCC kilichopo mbele ya uwanja wa ndege wa hapa Arusha (KIsongo), Mr. MlauleDJ, Mr. Isaac Kambira na Mrs Florence Masebo

Ukaguzi wa kiwanja unaendelea

Mipaka ya kiwanja ipo dhahiri kabisa

Picha za kumbukumbu zikachukuliwa

Mgeni wetu rasmi Profesa Rwekaza S. Mukandala VC-UDSM akiweka katika kumbukumbu vitu muhimu wakati wa majumuisho ya ziara yake

Mr. Isaac Kambira na Mr. David Bashosho (kushoto) na kulia anaonekana Profesa wetu

Kushoto ni Florence Masebo( Mrs Lupenza) meneja wa UCC Arusha na Mr. Isaac Kambira

Kushoto ni Mr. Isdory ambaye ni Public Relations Officer wa University of Dar es Salaam-UDSM akifafanua jambo

Hoja zikawekwa mezani na tafakari ikaanza

Yalikuwepo mepesi yaliyojadiliwa lakini pia yalikuwepo mazito yanayohitaji ushiriki wa wengi kiutendaji, ona jinsi Profesa na Mr. Kambira walivyoshika vichwa kutafakari

"Tukifanya hivi na kuleta mezani kwashirikisha wenzetu, mpango utafanikiwa" ndivyo anavyoonekana kana kwamba Mr. Kambira akimwambia hivyo Profesa

Baada ya kikao chenye mafanikio makubwa Profesa alipata wasaa kuwasalimia wafanyakazi wa tawi hili la Arusha. Hapa ni Mr. Juma Hanzuruni akisalimiana na Mr. Isaac Kambira. Profesa anaonekana kwa mbele akimsalimia Esther Kilimba(Mrs Mbise) ambaye haonekani vizuri

Huyu ni Mr. Antious Gerazi akiwa uso kwa uso na Profesa wetu

Tabasamu lilitawala, meno thelathina nje yote mbili... aaah nimekosea, MENO THELATHINA MBILI YOTE NJE



Hatimaye picha ya pamoja ikipigwa  Kushoto kwenda kulia ni  Mr. Antious Gerazi,  Mr. Juma Hanzuruni,  Esther Kilimba (Mrs. Mbise),Mr. Isdory,  Meneja wetu Florence Masebo(Mrs Lupenza),   Mimi(Daudi Mlaule),  Mgeni wetu rasmi Profesa Rwekaza S. Mukandala VC-UDSM, Mr. Isaac Kambira DMD-BUSE-UCC,  na  Mr. David Bashosho, 
Mara baada picha za kumbukumbu tukaenda kupata mlo wa mchana(Lunch) hukoooo Tembo Club, nje kidogo ya jiji la Arusha. Hapa ni Shoprite

Exim Bank kwa mbele, hii ni along Dodoma road.

Uwanja wa ndege wa Kisongo ndio huo kushoto katika uzio

Njia ya kurukia ndege katika Uwanja wa ndege wa Kisongo

Meza ikaandaliwa

Stori za hapa na pale zikaendelea

Profesa akifafanua jambo

Mandhari ya Arusha inavutia jamani, japo sio maeneo yote
Hivi ndivyo kwa ufupi ziara ilivyokuwa. Tulimsindikiza Airport kuwahi ndege kurudi Dar es Salaam